Sat Jul 02 2022 11:23:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-02 11:24:00 +03:00
commit 259c702e6b
444 changed files with 510 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mithali za Sulemani mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli. \v 2 Mithali hizi zinafundisha hekima na maarifa, kufundisha maneno ya busara, \v 3 ili mpate maarifa kwa ajili ya kuishi kwa kutenda wema, haki na adili.

1
01/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Mithali hizi zinatoa hekima kwa wale ambao hawakufunzwa, na kuwapa vijana maarifa na hadhari. \v 5 Watu wenye busara wasikie na kuongeza elimu yao na watu wenye ufahamu wapate mwongozo, \v 6 kwa kuelewa mithali, misemo, vitendawili na maneno ya wenye busara.

1
01/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Hofu ya Yehova ni chanzo cha maarifa- wapumbavu hudharau hekima na nidhamu. \v 8 Mwanangu, sikia fundisho la baba yako na wala usiziache kanuni za mama yako; \v 9 zitakuwa kilemba cha neema katika kichwa chako na jebu zinazoning'inia kwenye shingo yako.

1
01/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Mwanangu wenye dhambi wakikushawishi katika dhambi zao, kataa kuwafuata. \v 11 Kama watasema, " haya tufuatae, tuvizie ili kufanya mauaji, tujifiche ili tuwashambulie watu wasio na hatia, pasipo sababu.

1
01/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Haya tuwameza wakiwa hai, kama kuzimu inavyowachukua wenye afya, na kuwa kama wale waangukao kwenye shimoni. \v 13 Tutapata vitu vyote vya thamani; tutazijaza nyumba zetu vile tunavyoiba kwa wengine. \v 14 Weka vitu vyako kwetu; tutakuwa na mfuko moja kwa pamoja."

1
01/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Mwanangu, usitembee katika njia moja pamoja nao; usiruhusu mguu wako kugusa katika mapito yao; \v 16 miguu ya hukimbilia mabaya na huharakisha kumwaga damu. \v 17 Kwa kuwa haina maana kumtegea ndege mtego wakati ndege anaona.

1
01/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Watu hawa huvizia kujiua wenyewe--wanatega mtego kwa ajili yao wenyewe. \v 19 Ndivyo zilivyo njia za kila ambaye hupata utajiri kwa udhalimu; mapato ya udhalimu huondoa uhai wa wenye utajiri.

1
01/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Hekima inalia kwa sauti mtaani, inapaza sauti katika viwanja; \v 21 katika mitaa inalia kwa sauti kuu, kwenye maingilio ya milango ya mji inasema " \v 22 Mpaka lini enyi wajinga mtapenda kuwa wajinga? Mpaka lini enyi wenye dhihaka mtapenda dhihaka, na hadi lini enyi wapumbavu, mtachukia maarifa?

1
01/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Zingatia karipio langu; nitatoa mawazo yangu kwa ajili yenu; nitawafahamisha maneno yangu. \v 24 Nimeita, nanyi mkakataa kusikiliza; nimeunyosha mkono wangu, wala hakuna aliyezingatia. \v 25 Lakini mumedharau mafundisho yangu yote na wala hamkuzingatia maelekezo yangu.

1
01/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Nitacheka katika taabu yenu, nitawadhihaki wakati wa kupatwa taabu- \v 27 hofu ya kutisha itawapata kama tufani na maafa yatawakumba kama upepo wa kisulisuli, taabu na uchungu vitawapata.

1
01/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Halafu wataniita, nami sitawajibu; wataniita katika hali ya kukata tamaa lakini hawataniona. \v 29 Kwa sababu wamechukia maarifa na hawakuchagua kuwa na hofu ya Yehova, \v 30 hawakufuata mafundisho yangu na wakayadharau masahihisho yangu yote.

1
01/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Watakula matunda ya njia zao, na watashibishwa kwa matunda ya hila zao wenyewe. \v 32 kwa maana wajinga hufa wanaporudi nyuma, na kutojali kwa wapumbavu kutawaangamiza. \v 33 Bali kila anisikilizaye ataishi kwa usalama na atapumzika salama pasipo hofu ya maafa.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mwanangu, kama ukiyapokea maneno yangu na kuzitunza amri zangu, \v 2 usikilize hekima na utaelekeza moyo wako katika ufahamu.

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 kama utalilia ufahamu na kupaza sauti yako kwa ajili ya ufahamu, \v 4 kama utautafuta kama fedha na kupekua ufahamu kama unatafuta hazina iliyojificha, \v 5 ndipo utakapofahamu hofu ya Yehova na utapata maarifa ya Mungu.

1
02/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Kwa kuwa Yohova hutoa hekima, katika kinywa chake hutoka maarifa na ufahamu. \v 7 Yeye huhifadhi sauti ya hekima kwa wale wampendezao, yeye ni ngao kwa wale waendao katika uadilifu, \v 8 huongoza katika njia za haki na atalinda njia ya waaminifu kwake.

1
02/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Ndipo utakapoelewa wema, haki, usawa na kila njia njema. \v 10 Maana hekima itaingia moyoni mwako na maarifa yataipendeza nafsi yako.

1
02/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Busara itakulinda, ufahamu utakuongoza. \v 12 Vitakuokoa kutoka katika njia ya uovu, kutoka kwa wale waongeao mambo potovu. \v 13 Ambao huziacha njia za wema na kutembea katika njia za giza.

1
02/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Hufurahia wanapotenda maovu na hupendezwa katika upotovu. \v 15 Hufuata njia za udanganyifu na kwa kutumia ghilba huficha mapito yao.

1
02/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Busara na hekima zitakuokoa kutoka kwa mwanamke malaya, kutoka kwa mwanamke anayetafuta visa na mwenye maneno ya kubembeleza. \v 17 Yeye humwacha mwenzi wa ujana wake na kusahau agano la Mungu wake.

1
02/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Maana nyumba yake huinama na kufa na mapito yake yatakupeleka kwa wale walioko kaburini. \v 19 Wote waiendeao njia yake hawatarudi tena na wala hawataziona njia za uzima.

1
02/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 kwa hiyo utatembea katika njia ya watu wema na kufuata njia za wale watendao mema. \v 21 Kwa wale watendao mema watafanya makazi yao katika nchi, na wale wenye uadilifu watadumu katika nchi. \v 22 Lakini waovu wataondolewa katika nchi na wale wasioamini wataondolewa katika nchi.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mwanangu, usizisahau amri zangu na uyatunze mafundisho yangu katika moyo wako, \v 2 maana ziatakuongezea siku zako na miaka ya maisha yako na amani.

1
03/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Usiache utiifu wa agano na uaminifu viondoke kwako, vifunge katika shingo yako, viandike katika vibao vya moyo wako. \v 4 Ndipo utapata kibali na heshima mbele Mungu na wanadamu.

1
03/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Mtegemee Yehova kwa moyo wako wote na wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe, \v 6 katika njia zako zote mkiri Yeye na yeye atayanyosha mapito yako.

1
03/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Usiwe mwenye busara machoni pako mwenyewe; mche Yehova na jiepushe na uovu. \v 8 Itakuponya mwili wako na kukuburudisha mwili wako.

1
03/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Mheshimu Yehova kwa utajiri wako na kwa malimbuko ya mazao kwa kila unachozalisha, \v 10 na ndipo ghala zako zitajaa na mapipa makubwa yatafurika kwa divai mpya.

1
03/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Mwanangu, usidharau kuadibishwa na Yohova na wala usichukie karipio lake, \v 12 maana Yehova huwaadibisha wale wapendao, kama baba anavyoshughulika kwa mtoto wake ampendezaye.

1
03/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Yeye apataye hekima anafuraha, naye hupata ufahamu. \v 14 Kwani katika hekima unapata manufaa kuliko ukibadilisha kwa fedha na faida yake inafaa zaidi kuliko dhahabu.

1
03/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Hekima inathamani zaidi kuliko kito, na hakuna unachokitamani kinaweza kulinganishwa na hekima. \v 16 Yeye anasiku nyingi katika mkono wake wa kuume; na mkono wake wa kushoto ni utajiri na heshima.

1
03/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Njia zake ni njia za ukarimu na mapito yake ni amani. \v 18 Yeye ni mti wa uzima kwa wale wanaomshikilia, wale wanaomshikilia wanafuraha.

1
03/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Kwa hekima Yehova aliweka msingi wa dunia, kwa ufahamu aliziimarisha mbingu. \v 20 Kwa maarifa yake vina vilipasuka na mawingu kudondosha umande wake.

1
03/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Mwanangu, zingatia hukumu ya kweli na ufahamu, na wala usiache kuvitazama. \v 22 Vitakuwa uzima wa nafsi yako na urembo wa hisani wa kuvaa shingoni mwako.

1
03/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Ndipo utatembea katika njia yako kwa usalama na mguu wako hautajikwaa; \v 24 ulalapo hutaogopa; utakapolala, usingizi wako utakuwa mtamu.

1
03/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Usitishwe na hofu ya ghafula au uharibifu uliosababishwa na waovu unapotokea, \v 26 kwa maana Yehova utakuwa upande wako na ataulinda mguu wako usinaswe kwenye mtego.

1
03/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Usizuie mema kwa wale wanaoyastahili, wakati utendaji upo ndani ya mamlaka yako. \v 28 Jirani yako usimwambie, "Nenda, na uje tena, na kesho nitakupa," wakati pesa unazo.

1
03/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Usiweke mpango wa kumdhuru jirani yako- anayeishi jirani nawe na yeye anakuamini. \v 30 Usishindane na mtu pasipo sababu, ikiwa hajafanya chochote kukudhuru.

1
03/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Usimhusudu mtu jeuri au kuchagua njia zake zozote. \v 32 Maana mtu mjanja ni chukizo kwa Yehova, bali humleta mtu mwaminifu kwenye tumaini lake.

1
03/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Laana ya Yehova ipo katika nyumba ya watu waovu, bali huibariki maskani ya watu wenye haki. \v 34 Yeye huwadhihaki wenye dhihaka, bali huwapa hisani watu wanyenyekevu.

1
03/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Watu wenye busara huirithi heshima, bali wapumbavu huinuliwa kwa fedheha yao wenyewe.

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Wanangu, sikilizeni, fundisho la baba, na zingatieni ili mjue maana ya ufahamu. \v 2 Mimi ninawapa mafundisho mazuri; msiyaache mafundisho yangu.

1
04/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Mimi nilikuwa mwana kwa baba yangu, mpole na mtoto pekee kwa mama yangu, \v 4 baba alinifundisha akiniambia, "Moyo wako uzingatie sana maneno yangu; shika amri zangu nawe uishi.

1
04/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Jipatie hekima na ufahamu; usisahau na kuyakataa maneno ya kinywa changu; \v 6 usiiache hekima nayo itakulinda; ipenda nayo itakuhifadhi salama.

1
04/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Hekima ni kitu cha muhimu sana, hivyo jipatie hekima na tumia namna zote kuweza kupata ufahamu. \v 8 Tunza hekima nayo itakutukuza; ikumbatie nayo itakuheshimu. \v 9 Hekima itaweka kilemba cha heshima juu ya kichwa chako; itakupa taji zuri.

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Mwanangu, sikiliza, na kuzingatia maneno yangu, nawe utapata miaka mingi ya maisha yako. \v 11 Ninakuelekeza katika njia ya hekima, nimekuongoza katika mapito yaliyonyooka. \v 12 Unapotembea, hakuna atakayesimama katika njia yako na kama ukikimbia hutajikwaa.

1
04/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Shika mwongozo wala usiuache, utakuongoza, maana ni uzima wako. \v 14 Usifuate njia ya waovu wala usiende katika njia ya watendao uovu. \v 15 Jiepushe nayo, usipite katika njia hiyo; geuka na upite njia nyingine.

1
04/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Maana hawawezi kulala mpaka wafanye ubaya na hupotewa na usingizi hadi wasababishe mtu kujikwaa. \v 17 Maana wao hula mkate wa uovu na hunywa divai ya vurugu.

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Bali njia ya mwenye kutenda haki ni kama mwanga ung'aao, huangaza zaidi na zaidi hadi mchana inapowasili kwa ukamilifu. \v 19 Njia ya waovu ni kama giza - hawajui ni kitu gani huwa wanajikwaa juu yake.

1
04/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Mwanangu, zingatia maneno yangu; sikiliza kauli zangu. \v 21 Usiziache zikaondoka machoni pako; uzitunze katika moyo wako.

1
04/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Maana maneno yangu ni uzima kwa wenye kuyapata na afya katika mwili wao. \v 23 Ulinde salama moyo wako na uukinge kwa bidii zote; kwa kuwa katika moyo hububujika chemichemi za uzima.

1
04/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Jiepushe na kauli za udanganyifu na ujiepushe na mazungumzo ya ufisadi. \v 25 Macho yako yatazame mbele kwa unyoofu na kwa uthabiti tazama mbele sawasawa.

1
04/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Usawazishe pito la mguu wako; na njia zako zote zitakuwa salama. \v 27 Usigeuke upande wa kulia au kushoto; ondoa mguu wako mbali na uovu.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mwanangu, zingatia hekima yangu; sikiliza kwa makini ufahamu wangu, \v 2 ili ujifunze busara na midomo yako iweze kuhifadhi maarifa.

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Maana midomo ya malaya hutiririsha asali na kinywa chake ni laini kuliko mafuta, \v 4 lakini mwishoni anakuwa mchungu kama mnyoo, hukata kama upunga mkali.

1
05/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Miguu yake huelekea mauti; hatua zake huelekea njia yote ya kuzimu. \v 6 Hafikirii njia ya uzima. Hatua za miguu yake hupotea, maana hajui anakwenda wapi.

1
05/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Sasa, wanangu, nisikilizeni; wala msiache kusikiliza maneno ya kinywa changu. \v 8 Lindeni njia yenu mbali naye wala msiende karibu na mlango wa nyumba yake.

1
05/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Kwa njia hiyo hamtawapa wengine heshima yenu au miaka ya uzima wenu kwa mtu mkatiri; \v 10 wageni usije kufanya karamu kwa utajiri wenu; kazi mliyoifanya haitaenda katika nyumba ya wageni.

1
05/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Mwishoni mwa maisha yenu mtajuta ambapo nyama na mwili wenu vitaangamia. \v 12 Nanyi mtasema, " Namna gani nilichukia fundisho na moyo wangu ulidharau sahihisho!

1
05/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Sikuweza kuwatii walimu wangu au kuwasikiliza walionielekeza. \v 14 Nilikuwa nimeharibika kabisa katikati ya kusanyiko, miongoni mwa makutano ya watu."

1
05/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Munywe maji kutoka kwenye birika lenu mwenyewe na munywe maji yanatiririka kutoka kwenye kisima chenu. \v 16 Je inapaswa chemichemi yenu ifurike popote na mifereji yenu ya maji itiririke katika njia kuu? \v 17 Yawe yenu wenyewe peke yenu wala si kwa wageni.

1
05/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Chemichemi yako ibarikiwe na umfurahie mke wa ujana wako. \v 19 Maana ni ayala apendezaye na kulungu mwenye uzuri. Matiti yake na yakujaze furaha muda wote; daima na utekwe na upendo wake.

1
05/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Mwanangu, kwa nini uwe mateka wa malaya, kwa nini uyakumbatie matiti ya mwanamke mgeni? \v 21 Yehova huona kila kitu afanyacho mtu na huangalia mapito yake yote.

1
05/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Mtu mwovu atatekwa na makosa yake mwenyewe; kamba za dhambi yake zitamnasa kwa nguvu. \v 23 Atakufa kwa kukosa maonyo; atapotelea mbali kwa upumbavu wake wingi.

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mwanangu, kama utaweka pesa zako kuwa dhamana kwa mkopo wa jirani yako; kama ukitoa ahadi yako katika mkopo wa mtu usiyemjua, \v 2 basi umejiwekea mtego mwenyewe na umenaswa kwa maneno ya kinywa chako.

1
06/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Mwanagu, ukinaswa kwa maneno yako mwenyewe, fanya haya ili kujiokoa, kwa kuwa umeangukia kwenye mikono ya jirani yako; nenda unyenyekee na ufanye shauri mbele ya jirani yako.

1
06/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Usiruhusu usingizi katika macho yako wala kope za macho yako kusinzia. \v 5 Jiokoe mwenyewe kama swala kutoka katika mkono wa mwindaji, kama ndege kutoka katika mkono wa mwinda ndege.

1
06/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Wewe mtu mvivu, mwangalie mchwa, zitafakari njia zake ili kupata busara. \v 7 Hana akida, afisa au mtawala, \v 8 lakini huandaa chakula chake wakati wa joto na wakati wa mavuno huweka hazina ili kula baadaye.

1
06/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Ewe mtu mvivu, utalala hata lini? Wakati gani utainuka usingizini?" \v 10 Lala kidogo, sizia kidogo, kunja mikono kupumzika kidogo" - \v 11 ndipo umasikini wako utakapokujia kama mporaji na uhitaji wako kama askari wa vita.

1
06/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Mtu asiyefaa-mtu mwovu- huishi kwa kauli za udanganyifu wake, \v 13 akipepesa macho yake, akiashilia kwa miguu yake na kusonta kwa videle vyake.

1
06/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Hufanya njama za uovu kwa hila ya moyo wake; daima huchochea faraka. \v 15 Kwa hiyo msiba wake utamkumba kwa ghafula, punde atavunjika vibaya wala hatapona.

1
06/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kuna vitu sita ambavyo Yehova huvichukia, saba ambavyo ni chukizo kwake.

1
06/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Macho ya mtu mwenye kiburi, ulimi wa uongo, mikono inayomwaga damu ya watu maasumu, \v 18 moyo unaobuni njama mbaya, miguu inayokimbilia maovu upesi, \v 19 shahidi asemaye uongo na apandaye faraka kati ya ndugu.

1
06/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Mwanangu, itii amri ya baba yako na wala usiyaache mafundisho ya mama yako. \v 21 Uyafunge katika moyo wako siku zote; yafunge kwenye shingo yako.

1
06/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 utembeapo, yatakuongoza; ulalapo yatakulinda, na uamkapo yatakufundisha. \v 23 Maana amri ni taa, na mafundisho ni nuru; kinga za kuadilisha za njia ya uzima.

1
06/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Yanakulinda dhidi ya mwanamke malaya, dhidi ya maneno laini ya uzinzi. \v 25 Moyoni mwako usiutamani uzuri wake wala usitekwe katika kope zake.

1
06/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Kulala na malaya inaweza kugharimu bei ya kipande cha mkate, lakini mke wa mtu mwingine inagharimu uzima wako wote. \v 27 Je mtu anaweza kubeba moto katika kifua chake bila kuuguza mavazi yake?

1
06/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Je mtu anaweza kutembea juu ya makaa bila kuchomwa miguu yake? \v 29 Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa jirani yake; yule alalaye na huyo mke hatakosa adhabu.

1
06/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Watu hawawezi kumdharau mwizi kama anaiba ili kukidhi hitaji lake la njaa. \v 31 Walakini akimatwa, atalipa mara saba ya kile alichoiba; lazima atoe kila kitu cha thamani katika nyumba yake.

1
06/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Mtu anayefanya uzinzi hana akili; hufanya hiyo kwa uharibifu wake mwenyewe. \v 33 Anasitahili aibu na majeraha na fedheha yake haiwezi kuondolewa.

1
06/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 Maana vivu humghadhibisha mtu; hatakuwa na huruma wakati wa kulipa kisasi chake. \v 35 Ujapompa zawadi nyingi, hatakubali mbadala wa kusuruhishwa wala kulipwa.

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mwanangu, yatunze maneno yangu na ndani yako udhihifadhi amri zangu. \v 2 Uzilinde amri zangu ili uishi na uyatunzetu mafundisho yangu kama mboni ya jicho. \v 3 Uyafunge katika vidole vyako; uyaandike katika kibao cha moyo wako.

1
07/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Mwambie hekima, "wewe ni dada yangu," na ufahamu mwite jamaa yako, \v 5 ili ujitunze mwenyewe dhidi ya mwanake haramu, dhidi ya mwanamke mgeni mwenye maneno laini.

1
07/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Nilikuwa naangalia kwenye wavu wa dirisha la nyumba yangu. \v 7 Nikawatazama watu mwenye ukosefu wa uzoefu, na miongoni mwa watu vijana nikamwona kijana asiye na akili.

1
07/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kijana huyo alishuka mtaani kwenye kona karibu na yule mwanamke, akaenda kwenye nyumba yake. \v 9 Ilikuwa katika utusiutusi wa siku muda wa jioni, wakati wa usiku na giza.

1
07/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Akakutana na yule mwanake, amevaa kama kahaba, katika moyo wa udanyanyifu. \v 11 Alikuwa na kelele na upotovu; miguu yake haikutulia kwenye masikani. \v 12 Alielekea mitaani, kisha sehemu ya sokoni, na katika kila upande alisubiri kwa kuviza.

1
07/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Basi akamshika na kumbusu, kwa uso wa nguvu akamwambia, \v 14 leo nimetoa sadaka yangu ya amani, nimelipa nadhili yangu, \v 15 hivyo nilikuja kukutana nawe, kuutafuta uso wako kwa hamu, na sasa nimekupata.

1
07/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Nimeweka matandiko juu ya kitanda changu, kitani za rangi kutoka Misri. \v 17 Kitanda changu nimenyunyizia manemane, udi na mdalasini. \v 18 Njoo, tunywe tujishibishe kwa upendo wetu hata asubuhi; tupate furaha kuu kwa matendo ya mahaba.

1
07/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Maana mume wangu hayupo nyumbani kwake; amekwenda safari ya mbali. \v 20 Alichukua mkoba wa fedha; atarudi siku ya mwezi mpevu. \v 21 katika maneno yake mengi akamshinda; na kwa midomo yake laini anampotosha.

1
07/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Ghafula alimfuata kama maksai anayekwenda kwa mchinjaji, kama ayala aliyekamatwa kwa nguvu, \v 23 mpaka mshale upasue ini lake. Alikuwa kama ndege anayekimbili kwenye mtego. Hakujua kuwa itamgharimu maisha yake.

1
07/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Na sasa, wanangu, nisikilizeni; zingatieni maneno ya kinywa changu. \v 25 Moyo wako usiyageukie mapito yake; usipotoshwe katika mapito yake.

1
07/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Amesababisha watu wengi kuanguka kwa kuwajeruhi; ameua watu wengi. \v 27 Nyumba yake ipo juu ya barabara ya kwenda kuzimu; huelekea chini kwenye vyumba vya mauti.

1
08/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Je hekima haiti? Je ufahamu hapazi sauti yake? \v 2 Juu ya kilima kando ya barabara, kwenye njia panda, hekima anasimama. \v 3 Kando ya njia ya kuingilia mjini, karibu na milango ya mji, anaita kwa sauti.

1
08/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Watu, ninawaita ninyi na ninapaza sauti yangu kwa wana wa wanadamu. \v 5 Ninyi wajinga, jifunzeni hekima, na ninyi mnaochukia maarifa, lazima mjipatieni moyo wa ufahamu.

1
08/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Sikiliza na mimi nitasema mambo mazuri na nifumbuapo midomo yangu nitaongea haki. \v 7 Maana kinywa changu hunena uaminifu na midomo yangu huchukia uovu.

1
08/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Maneno ya kinywa changu yote ni haki; hakuna kilichogeuzwa wala kupotoshwa. \v 9 Maneno yangu yote yamenyooka kwa yule mwenye kuelewa; maneno yangu ni haki kwa wale wanaotafuta maarifa.

1
08/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Chagua fundisho langu badala ya fedha na maarifa kuliko dhahabu safi. \v 11 Maana mimi, hekima ni bora kuliko vito; hakuna unachokitamani kinaweza kulinganishwa na mimi.

1
08/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Mimi, hekima, naishi kwa utaratibu, na ninamiliki maarifa na busara. \v 13 Hofu ya Mungu ni kuchukia uovu- nachukia majivuno na kiburi, njia ya uovu, na kauli iliyopotoka- hivyo ninavichukia.

1
08/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Ninaushauri mzuri na hekima sahihi; mimi ni busara; nguvu zipo kwangu. \v 15 Kwa njia yangu wafalme hutawala- pia na waungwana, na wote ambao hutawala kwa haki. \v 16 Kwa njia yangu wafalme hutawala na waungwana na wote wanaotawala kwa haki.

1
08/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Nawapenda wale wanaonipenda, na wale wanaonitafuta kwa bidii, wataniona. \v 18 Kwangu kunautajiri na heshima, utajiri wa kudumu na haki.

1
08/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Tunda langu ni bora kuliko dhahabu, bora hata kuliko dhahabu safi. \v 20 Ninazalisha kilicho bora kuliko fedha safi. Natembea katika njia ya haki, \v 21 katika mapito ambayo huelekea kwenye haki, ili niwape urithi wale wanaonipenda na kuzijaza hazina zao.

1
08/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Yehova aliniumba tokea mwanzo- mwazoni mwa matendo yake ya nyakati za kale. \v 23 Tokea enzi za kale niliwekwa katika nafasi- tokea kwanza, tokea mwanzo wa dunia.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More