sw_pro_text_reg/08/01.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 1 Je hekima haiti? Je ufahamu hapazi sauti yake? \v 2 Juu ya kilima kando ya barabara, kwenye njia panda, hekima anasimama. \v 3 Kando ya njia ya kuingilia mjini, karibu na milango ya mji, anaita kwa sauti.