sw_pro_text_reg/01/04.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 4 Mithali hizi zinatoa hekima kwa wale ambao hawakufunzwa, na kuwapa vijana maarifa na hadhari. \v 5 Watu wenye busara wasikie na kuongeza elimu yao na watu wenye ufahamu wapate mwongozo, \v 6 kwa kuelewa mithali, misemo, vitendawili na maneno ya wenye busara.