sw_pro_text_reg/02/03.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 3 kama utalilia ufahamu na kupaza sauti yako kwa ajili ya ufahamu, \v 4 kama utautafuta kama fedha na kupekua ufahamu kama unatafuta hazina iliyojificha, \v 5 ndipo utakapofahamu hofu ya Yehova na utapata maarifa ya Mungu.