sw_pro_text_reg/02/06.txt

1 line
257 B
Plaintext

\v 6 Kwa kuwa Yohova hutoa hekima, katika kinywa chake hutoka maarifa na ufahamu. \v 7 Yeye huhifadhi sauti ya hekima kwa wale wampendezao, yeye ni ngao kwa wale waendao katika uadilifu, \v 8 huongoza katika njia za haki na atalinda njia ya waaminifu kwake.