sw_pro_text_reg/05/18.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 18 Chemichemi yako ibarikiwe na umfurahie mke wa ujana wako. \v 19 Maana ni ayala apendezaye na kulungu mwenye uzuri. Matiti yake na yakujaze furaha muda wote; daima na utekwe na upendo wake.