sw_pro_text_reg/02/20.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 20 kwa hiyo utatembea katika njia ya watu wema na kufuata njia za wale watendao mema. \v 21 Kwa wale watendao mema watafanya makazi yao katika nchi, na wale wenye uadilifu watadumu katika nchi. \v 22 Lakini waovu wataondolewa katika nchi na wale wasioamini wataondolewa katika nchi.