sw_pro_text_reg/01/12.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 12 Haya tuwameza wakiwa hai, kama kuzimu inavyowachukua wenye afya, na kuwa kama wale waangukao kwenye shimoni. \v 13 Tutapata vitu vyote vya thamani; tutazijaza nyumba zetu vile tunavyoiba kwa wengine. \v 14 Weka vitu vyako kwetu; tutakuwa na mfuko moja kwa pamoja."