Sun Jun 12 2022 20:45:16 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-12 20:45:32 +03:00
parent 7cd4abdfd1
commit 5659ba7ac1
384 changed files with 390 additions and 2 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mwanzoni kulikuwako Neno, na Neno alikuwa pamoja na Mungu, na Neno alikuwa Mungu. \v 2 Huyu, Neno, Mwanzoni alikuwa pamoja na Mungu. \v 3 Vitu vyote vilifanyika kupitia yeye, na pasipo yeye hakuna hata kitu kimoja kilichokuwa kimefanyika.

1
01/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Ndani yake kulikuwa uzima, na huo uzima ulikuwa nuru ya wanadamu wote. \v 5 Nuru yang'aa gizani, wala giza haikuishinda

1
01/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Palikuwa na mtu aliyetumwa kutoka kwa Mungu jina lake Yohana \v 7 Alikuja kama shahidi kushuhudia kuhusu ile nuru, ili kwamba wote waweze kuamini kupitia yeye. \v 8 Yohana hakuwa ile nuru, bali alikuja ili ashuhudie kuhusu ile nuru.

1
01/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Huyo aliye nuru ya kweli na ambaye huwapa wanadamu wote nuru alikuwa yuaja duniani.

1
01/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Alikuwa duniani, na dunia iliumbwa kupitia yeye,ilhali dunia haikumjua. \v 11 Alikuja kwa watu wake na watu wake hawakumpokea.

1
01/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Bali kwa wale wote waliompokea,walioamini katika jina lake,aliwapa kibali ya kuwa wana wa Mungu, \v 13 Hawa walizaliwa sio kwa damu, wala kwa mapenzi ya mwili, wala kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu mwenyewe.

1
01/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Neno alifanyika mwili na akaishi miongoni mwetu.Tumeuona utukufu wake, utukufu kama wa yule na ambaye ndiye tu aliyekuja kutoka kwa Baba,akiwa amejaa neema na kweli. \v 15 Yohana alishuhudia kumhusu, na akapaza sauti akisema, "Huyu ndiye niliyesema habari zake;Yule ajaye baada yangu ni mkuu kuliko mimi, kwa kuwa amekuwako kabla yangu."

1
01/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kwa kuwa kutoka katika utimilifu wake, sisi sote tumepokea neema baada ya neema. \v 17 Kwa kuwa sheria ililetwa kupitia Musa. Neema na kweli vilikuja kupitia Yesu Kristo. \v 18 Hamna mwanadamu yeyote aliyewahi kumuona Mungu wakati wowote. Mtu pekee ambaye ni Mungu, aliye katika upande wa Baba, amemfanya yeye ajulikane.

1
01/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Na huu ndio ushuhuda wa Yohana wakati makuhani na walawi waliotumwa kwake na Wayahudi kumwuliza, "Wewe ni nani?" \v 20 Alikili na hakukana, bali aliungama, "Mimi sio Kristo." \v 21 Hivyo wakamuuliza, "kwa hiyo wewe ni nani sasa?" Wewe ni Eliya? Akasema, "Mimi siye." Wakasema, Wewe ni nabii? Akajibu," Hapana."

1
01/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Kisha wakamwambia, "Wewe ni nani, ili kwamba tuwape jibu waliotutuma"? Wajishuhudiaje wewe mwenyewe?" \v 23 Akasema, "Mimi ni sauti yake aliaye nyikani: 'Inyosheni njia ya Bwana,' kama nabii Isaya alivyosema."

1
01/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Basi kulikuwa na watu wametumwa pale kutoka kwa Mafarisayo. Wakamuuliza na kusema, \v 25 "Kwa nini unabatiza basi kama wewe sio Kristo wala Eliya wala nabii?"

1
01/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Yohana aliwajibu akisema, "Ninabatiza kwa maji. Hata hivyo, miongoni mwenu anasimama mtu msiyemtambua. \v 27 Huyu ndiye ajaye baada yangu. Mimi sisitahili kulegeza kamba za viatu vyake." \v 28 Mambo haya yalitendeka huko Bethania, ng'ambo ya Yordani, mahali ambapo Yohana alikuwa akibatiza.

1
01/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Siku iliyofuata Yohana alimwona Yesu akija kwake akasema, " Tazama mwanakondoo wa Mungu aichukuae dhambi ya ulimwengu! \v 30 Huyu ndiye niliyesema habari zake, "Yeye ajaye nyuma yangu ni mkuu kuliko mimi, kwa kuwa alikuwa kabla yangu.' \v 31 Sikumtambua yeye, lakini ilifanyika hivyo ili kwamba afunuliwe katika Israeli, ndipo nikaja nikibatiza kwa maji."

1
01/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Yohana alishuhudia, "Niliona Roho akishuka kutoka mbinguni mfano wa njiwa, na ilibaki juu yake. \v 33 Mimi sikumtambua lakini yeye aliyenituma ili nibatize kwa maji aliniambia, 'yule ambaye utaona Roho akishuka na kukaa juu yake, Huyo ndiye abatizaye kwa Roho Mtakatifu.' \v 34 Nimeona na nimeshuhudia kwamba huyu ni Mwana wa Mungu."

1
01/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Tena siku iliyofuata Yohana alikuwa amesimama pamoja na wanafunzi wake wawili, \v 36 walimwona Yesu akitembea na Yohana akasema, "Tazama, Mwana kondoo wa Mungu!"

1
01/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 Wanafunzi wawili wakamsikia Yohana akisema haya wakamfuata Yesu. \v 38 Hapo Yesu aligeuka na kuwaona wanafunzi wale wakimfuata, na akawauliza, "Mnataka nini?" Wakajibu, "Rabbi, (maana yake 'mwalimu,') Unaishi wapi?" \v 39 Akawambia, "Njooni muone."Kisha walikwenda na kuona mahali alipokuwa akiishi; walikaa pamoja naye siku hiyo, kwa kuwa ilikuwa yapata kama saa kumi hivi

1
01/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Mmoja wa wale wawili waliomsikia Yohana akiongea na kisha kumfuata Yesu alikuwa ni Andrea, ndugu yake Simoni Petro. \v 41 Akamwona ndugu yake Simoni na akamwambia, "Tumempata Masihi" (ambayo inatafsiriwa Kristo). \v 42 Akamleta kwa Yesu. Yesu akamtazama na akasema, "Wewe ni Simoni mwana wa Yohana" utaitwa Kefa," (maana yake 'Petro').

1
01/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 43 Siku iliyofuata wakati Yesu alipotaka kuondoka kwenda Galilaya, alimpata Filipo na akamwambia, "Nifuate mimi." \v 44 Filipo alikuwa ni mwenyeji wa Bethsaida, mji wa Andrea na Petro. \v 45 Filipo alimpata Nathanaeli na kumwambia, Tumempata yule ambaye Musa aliandika habari zake katika sheria na Manabii. Yesu mwana wa Yusufu, kutoka Nazareti.

1
01/46.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 46 Nathanaeli akamwambia, "Je kitu chema chaweza kutokea Nazareti?" Filipo akamwambia, Njoo na uone." \v 47 Yesu akamwona Nathanaeli akija kwake na akasema, "Tazama, Mwisraeli kamili asiye na udanganyifu ndani yake!" \v 48 Nathanaeli akamwambia, "Wanifahamuje mimi?" Yesu akajibu na akamwambia, "Kabla Filipo hajakuita ulipokuwa chini ya mtini, nalikuona."

1
01/49.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 49 Nathanaeli akajibu, "Rabi wewe u Mwana wa Mungu! Wewe ni Mfalme wa Israeli"! \v 50 Yesu akajibu akamwambia, Kwa sababu nilikuambia 'nilikuona chini ya mtini' je waamini? utaona matendo makubwa kuliko haya." \v 51 Yesu akasema, "Amini amini nawambieni mtaziona mbingu zikifunguka, na kuwaona malaika wakipanda na kushuka juu ya Mwana wa Adamu."

1
01/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
SURA 1

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Baada ya siku tatu, kulikuwa na arusi huko Kana ya Galilaya na mama yake Yesu alikuwa huko. \v 2 Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa katika arusi.

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wakati walipoishiwa na divai, mama yake Yesu akamwambia, "Hawana divai." \v 4 Yesu akajibu, "Mwanamke,kwa nini wanijia mimi? Muda wangu mimi bado haujatimia." \v 5 Mama yake akawambia watumishi, "Chochote atakachowambia fanyeni."

1
02/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Basi kulikuwa na mitungi sita ya mawe pale iliyowekwa kwa ajili ya kunawa katika sikukuu za Wayahudi, kila moja lilikuwa na ujazo wa nzio mbili tatu. \v 7 Yesu akawambia, "Ijazeni maji mitungi ya mawe." Wakajaza hadi juu. \v 8 Kisha akawambia wale watumishi, "Chukueni kiasi sasa na mpeleke kwa muhudumu mkuu wa meza." Wakafanya kama walivyoagizwa.

1
02/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Mhudumu mkuu aliyaonja yale maji yaliyokuwa yamebadilika na kuwa divai, ila hakujua yalikotoka (lakini watumishi waliochota maji walijua yalikotoka). Kisha akamwita bwana harusi na \v 10 kumwambia, "Kila mmoja huanza kuwahudumia watu divai nzuri na wakiishalewa huwapa divai isiyo nzuri. Lakini wewe umeitunza divai nzuri hadi sasa"

1
02/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Ishara hii ya Kana ya Galilaya, ilikuwa ndio mwanzo wa ishara za miujiza aliyoifanya Yesu, akifunua utukufu wake, hivyo wanafunzi wake wakamwamini.

1
02/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Baada ya hii, Yesu, mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake walienda katika mji wa Kapernaum na wakawa huko kwa siku chache.

1
02/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Basi Pasaka ya Wayahudi ilikuwa imekaribia, hivyo Yesu akaenda Yerusalemu. \v 14 Akawakuta wauzaji wa ng'ombe, kondoo, na njiwa ndani ya Hekalu. Pia na wabadilisha fedha walikuwa wameketi ndani ya Hekalu.

1
02/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Yesu akatengeneza mjeledi wenye vifundo, akawatoa wote walikuwemo katika hekalu, ikijumuisha ng'ombe na kondoo. Akamwaga fedha za wabadili fedha na kuzipindua meza zao. \v 16 Kwa wauzaji wa njiwa akawambia, "Toeni vitu hivi mbali na mahali hapa, acheni kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa mahali pa soko."

1
02/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Wanafunzi wake wakakumbuka kuwa ilikuwa imeandikwa, "Wivu wa nyumba yako utanila." \v 18 Wakuu wa Kiyahudi wakajibu, wakamwambia, Ni ishara ipi utakayoionyesha kwa sababu unayafanya mambo haya?" \v 19 Yesu akawajibu, libomoeni Hekalu hili nami nitalijenga baada ya siku tatu."

1
02/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kisha wakuu wa Wayahudi wakasema, "Ilichukua miaka arobaini na sita kujenga hekalu hili nawe unasema utalijenga kwa siku tatu?" \v 21 Ingawa, yeye aliongea hekalu akimaanisha mwili wake. \v 22 Hivyo baadaye baada ya kufufuka kwake kutoka kwa wafu, wanafunzi wake wakakumbuka kuwa alisema hivyo, wakaamini maandiko na kauli hii ambayo Yesu alikuwa amekwisha kuisema.

1
02/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Basi alipokuwa Yerusalemu wakati wa sikukuu ya Pasaka, watu wengi waliamini jina lake, walipoona ishara ya miujiza aliyoifanya. \v 24 Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wanadamu wote. \v 25 Hakuhitaji mtu yeyote kumwambia kuhusu walivyo wanadamu kwa sababu alijua kilichokuwamo ndani yao.

1
02/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
SURA YA 2

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 3 \v 1 Basi palikuwa na Falisayo mmoja jina lake Nikodemo na kiongozi wa kiyahudi. \v 2 Alimnjia Yesu wakati wa usiku na kumwambia,"Rabi,twajua wewe ni mwalimu atokae kwa Mungu maana hamna mtu yeyote awezaye kufanya ishara hizi uzifanyazo isipokuwa Mungu yu naye"

1
03/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Yesu akamjibu, "Amini, amini, mtu hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu asipozaliwa mara ya pili." \v 4 Nikodemo akasema," Mtu anawezaje kuzaliwa akiwa mzee? Hawezi kuingia tumboni mwa mama yake mara ya pili na kuzaliwa, je anaweza?"

1
03/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Yesu akajibu, "Amini, amini mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu. \v 6 Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili, na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.

1
03/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Usishangae kwa sababu nilikuwambia, 'ni lazima kuzaliwa mara ya pili.' \v 8 Upepo huvuma popote upendapo na sauti yake mwaisikia, lakini hamjui utokako wala uendako. Ndivyo ilivyo hali ya kila aliyezaliwa na Roho.

1
03/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Nikodemo akajibu, kwa kusema, "Mambo haya yawezekanaje?" \v 10 Yesu akamjibu, "Wewe u mwalimu wa Israeli, hata hauyajui mambo haya? \v 11 Amini, amini, nakuambia,twanena kile tunachokifahamu na twakishuhudia kile tulichokiona bali hampokei ushuhuda wetu.

1
03/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Kama nimewambia mambo ya hapa duniani na hamuamini, mtawezaje kuamini kama nikiwambia mambo ya mbinguni? \v 13 Maana hakuna aliyepanda kwenda juu mbinguni isipokuwa yeye aliyeshuka kutoka mbinguni- Mwana wa Adamu.

1
03/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kama vile Musa alivyomwinua nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu lazima ainuliwe, \v 15 ili kwamba wote watakaomwamini wapate uzima wa milele.

1
03/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, kwamba akamtoa mwanae wa pekee, ili kwamba mtu yeyote amwaminiye asiangamie bali awe na uzima wa milele. \v 17 Kwa sababu Mungu hakumtuma mwanae duniani ili auhukumu ulimwengu, bali kwamba ulimwengu uokolewe katika yeye. \v 18 Amwaminiye Yeye hatahukumiwa. Yeye asiyemwamini tayari ashahukumiwa kwa sababu hajaliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.

1
03/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Hii ndiyo sababu ya hukumu, ya kwamba nuru imekuja ulimwenguni, lakini wanadamu wakapenda giza zaidi ya nuru kwa sababu matendo yao yalikuwa maovu. \v 20 kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru wala haji nuruni ili matendo yake yasije yakawekwa wazi. \v 21 walakini, yeye atendaye kweli huja kwenye nuru ili matendo yake yaonekane kwamba yametendwa kwa utiifu wa Mungu.

1
03/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Baada ya haya, Yesu pamoja na wanafunzi walienda katika nchi ya Yudea. Huko alitumia muda pamoja nao na alikuwa akibatiza. \v 23 Sasa Yohana pia alikuwa akibatiza huko Ainea karibu na Salim maana kulikuwa na maji mengi pale. Watu walikuwa wakija kwake na kubatizwa, \v 24 kwa kuwa Yohana alikuwa hajatupwa gerezani bado.

1
03/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Kisha palitokea mabishano kati ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi kuhusu shughuli za utakaso. \v 26 Wakaenda kwa Yohana wakamwambia, "Rabi, yeye uliyekuwa naye ng'ambo ya Mto Yorodani, yeye uliyeshuhudia habari zake, tazama, anabatiza na wote wanaenda wanamfuata."

1
03/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Yohana akajibu mtu hawezi kupokea kitu chochote isipokuwa kama amepewa kutoka mbinguni. \v 28 Ninyi wenyewe mwashuhudia kuwa nalisema kuwa, 'mimi sio Kristo', badala yake nilisema, 'nimetumwa mbele yake.'

1
03/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Bibi arusi ni wa Bwana arusi. Sasa rafiki wa bwana arusi, asimamaye na kusikiliza hufurahia sana kwa sababu ya sauti ya bwana arusi. Hii sasa ni furaha yangu iliyotimilika. \v 30 Anapaswa kuzidi, nami napaswa kupungua.

1
03/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Yeye atokaye juu, yu juu ya yote. Yeye aliye wa ulimwengu anatoka ulimwenguni na huongea mambo ya ki ulimwengu. Yeye atokaye mbinguni yuko juu ya yote. \v 32 Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna apokeaye ushuhuda wake. \v 33 Yeye aliye pokea ushuhuda wake amehakikisha kuwa Mungu ni mkweli.

1
03/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 Kwa maana yeye aliyetumwa na Mungu huongea maneno ya Mungu. Kwa kuwaMungu hampi Roho kwa kipimo. \v 35 Baba humpenda Mwana na amempa vitu vyote mikononi mwake. \v 36 Yeye amwaminiye Mwana anao uzima wa milele, lakini kwa yeye asiye mtii Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu hukaa juu yake.

1
03/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
SURA YA 3

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 4 \v 1 Basi Yesu alipofahamu kuwa Mafarisayo wamesikia kuwa Yesu alikuwa anafuasa na kuwabatiza zaidi ya Yohana, \v 2 (ingawa Yesu mwenyewe alikuwa habatizi ila wanafunzi wake), \v 3 alitoka Judea na akarudi Galilaya.

1
04/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 ikawa ilikuwa muhimu kupitia Samaria. \v 5 Na akafika kwenye mji wa Samaria, unaoitwa Sikari, karibu na eneo ambalo Yakobo alimpa mwanae Yusufu.

1
04/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Na kisima cha Yakobo kilikuwa hapo. Yesu alikuwa amechoka kwa ajili ya safari na akakaa karibu na kisima. Ilikuwa muda wa saa sita mchana. \v 7 Mwanamke Msamaria alikuja kuteka maji, na Yesu akamwambia, "Nipe maji ninywe." \v 8 Kwa sababu wanafunzi wake walikuwa wameenda zao mjini kununua chakula

1
04/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Yule mwanamke Msamaria akamwambia, "Inakuaje wewe Myahudi, kuniomba mimi mwanamke Msamaria, kitu cha kunywa?" Kwa sababu Wayahudi hawatangamani na Wasamaria. \v 10 Yesu akamjibu, "Kama ungelijua karama ya Mungu, na yule anayekuambia 'Nipe maji, ' ungelimwomba, na angelikupa maji ya uzima."

1
04/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Yule mwanamke akamwambia, "Bwana hauna ndoo ya kuchotea, na kisima ni kirefu. Utayapata wapi Maji ya Uzima.? \v 12 Je wewe ni mkuu, kuliko baba yetu Yakobo, ambaye alitupa kisima hiki, na yeye mwenyewe na watoto wake pamoja na mifugo yake wakanywa maji ya kisima hiki?"

1
04/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Yesu akajibu nakumwambia, "Yeyote anywae maji haya atapata kiu tena, \v 14 lakini yeye atakaye kunywa maji nitakayompa hatapata kiu tena. Badala yake maji nitakayompa yatakuwa chemchemi inayobubujika hata uzima wa milele."

1
04/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Yule mwanamke akamwambia, "Bwana, nayaomba maji hayo ili nisipate kiu, na nisihangaike kuja hapa kuchota maji." \v 16 Yesu akamwambia, "Nenda kamwite mumeo, kisha urudi."

1
04/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Yule mwanamke akamwambia, "Sina mume." Yesu akajibu, "Umesema vyema, 'Sina mume;' \v 18 kwa maana ushakuwa na wanaume watano, na hata ambaye unaye sasa sio mume wako. Ambalo umelisema kweli!"

1
04/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Yule mwanamke akamwambia, "Bwana naona yakuwa wewe ni nabii. \v 20 Baba zetu waliabudu katika mlima huu. Lakini ninyi mwasema ya kuwa Yerusalemu ndiyo sehemu ambayo watu wanapaswa kuabudu."

1
04/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Yesu akamjibu, "Mwanamke, niamini, wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu wala Yerusalemu. \v 22 Ninyi watu mwaabudu kile msichokijua, lakini sisi twaabudu tunachokijua, kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi."

1
04/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Hatahivyo, wakati waja, na sasa upo hapa, wakati waabuduo kweli watamwabudu Baba katika roho na kweli, kwa sababu Baba anawatafuta watu wa namna hiyo kuwa watu wake wanao mwabudu. \v 24 Mungu ni Roho, na wale wanaomwabudu wanapaswa kumwabudu kwa roho na kweli."

1
04/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Mwanamke akamwambia, "Ninajua kuwa Masihi anakuja, (aitwaye Kristo). Huyo atakapokuja atatwelezea mambo yote." \v 26 Yesu akamwambia, "Mimi unayesema nami ndiye."

1
04/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Wakati huo huo wanafunzi wake wakarudi. Nao walishangaa kwa nini alikuwa akizungumza na mwanamke, lakini hakuna aliyethubutu kumuuliza, "Unataka nini?" au "Kwa nini unazungumza naye.?"

1
04/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Hivyo mwanamke akauacha mtungi wake wa maji na akaenda mjini na akawambia watu, \v 29 "Njooni mwone mtu aliyeniambia mambo yangu yote niliyoyatenda, je yawezekana akawa ndiye Kristo?" \v 30 Wakatoka mjini wakaja kwa Yesu.

1
04/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Wakati huohuo wanafunzi wake walimsihi wakisema, "Rabi kula chakula." \v 32 lakini yeye aliwambia, "Mimi ninacho chakula msichokijua ninyi." \v 33 Wanafunzi wakaambiana, hakuna aliyemletea kitu chochotekula,"Je walileta?"

1
04/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 Yesu akawambia, "Chakula changu ni kufanya mapenzi yake yeye aliyenituma na kutimiza kazi yake. \v 35 Je, hamsemi, 'Bado miezi minne na mavuno yatakuwa tayari?' Ninawambieni tazameni mashamba yalivyo tayari kwa mavuno! \v 36 Yeye avunaye hupokea mishahara na kukusanya matunda kwa ajili ya uzima wa milele, ili kwamba yeye apandaye naye avunaye wafurahi pamoja.

1
04/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 Kwa kuwa msemo huu ni wa kweli, 'Mmoja apanda na mwingine avuna.' \v 38 Niliwatuma kuvuna ambacho hamkukihangaikia, Wengine wamefanya kazi na ninyi mmeingia katika furaha ya kazi yao."

1
04/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Wasamaria wengi katika mji ule walimwani kwa sababu ya taarifa ya yule mwanamke aliyekuwa akishuhudia, "Aliyeniambia mambo yote niliyoyafanya." \v 40 Hivyo Wasamaria walipokuja walimsihi akae pamoja nao na akakaa kwao kwa siku mbili.

1
04/41.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 41 Na wengi zaidi wakamwamini kwa sababu ya neno lake. \v 42 Wakamwambia yule mwanamke, "Tunaamini sio tu kwa maneno yako, kwa sababu sisi wenyewe tumesikia, na sasa twafahamu kuwa hakika huyu ndiye mwokozi wa ulimwengu."

1
04/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 43 Baada ya siku hizo mbili, Yesu akaondoka na kuelekea Galilaya. \v 44 Kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa ametangaza kuwa nabii hana heshima katika nchi yake mwenyewe. \v 45 Alipokuja katika Galilaya, Wagalilaya walimkaribisha. Walikuwa wameona mambo yote aliyoyafanya Yerusalemu kwenye sikukuu, kwa sababu na wao pia walikuwa wamehudhuria kwenye sikukuu.

1
04/46.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 46 Alikuja tena Kana ya Galilaya huko alikoyabadilisha maji kuwa divai. Palikuwa na ofisa ambaye mwanaye alikuwa ni mgonjwa huko Kapernaumu. \v 47 Aliposikia kuwa Yesu alitoka Yudea na kwenda Galilaya, alienda kwa Yesu na kumsihi atelemke amponye mwanawe, ambaye alikuwa karibu kufa.

1
04/48.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 48 Ndipo Yesu akamwambia, "Ninyi msipoona ishara na maajabu hamtaamini. \v 49 Kiongozi akasema, " Bwana shuka chini kabla mwanangu hajafa." \v 50 Yesu akamwambia, "Nenda mwanao aishi." Yule mtu akaamini neno alilolisema Yesu na akaenda zake.

1
04/51.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 51 Alipokuwa akishuka, watumishi wake walimpokea na kumwambia mwanaye alikuwa mzima. \v 52 Hivyo akawauliza ni muda gani alipata nafuu. Wakajibu, "Jana muda wa saa saba homa ilipomwacha."

1
04/53.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 53 Ndipo baba yake akatambua kuwa ni muda ule ule Yesu aliosema, "Mwana wako ni mzima." Hivyo yeye na familia yake wakaamini. \v 54 Hii ilikuwa ni ishara ya pili aliyoifanya Yesu alipotoka Yudea kwenda Galilaya.

1
04/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
SURA YA 4

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 5 \v 1 Baada ya hapo kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi, na Yesu alipanda kwenda Yerusalemu. \v 2 Na kule Yerusalemu palikuwa na birika kwenye mlango wa kondoo, lililokuwa likiitwa kwa lugha ya Kiaramu Bethzatha, nalo lina matao matano. \v 3 Idadi kubwa ya wagonjwa ilikuwemo, vipofu, viwete, au waliopooza walikuwa wamelala katika matao hayo. {Zingatia: Maneno ya mstari wa 3 hayaonekani katika nakala nzuri za kale. "Wakisubiri maji kutibuliwa.") Kwa hakikia wakati fulani malaika alishuka ndani ya Birika na kuyatibua maji. \v 4 Hivi kwamba, yule ambaye alikuwa wa kwanza kuingia ndani baada ya maji kutibuliwa alifanywa mzima kutokana na chochote kilichokuwa kimemshika kwa wakati huo.

1
05/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa ameugua kwa muda wa miaka thelathini na minane ndani ya matao. \v 6 Yesu alipomwona amelala ndani ya matao na baada ya kutambua kuwa amelala pale kwa muda mrefu Yesu alimwambia, "Je unataka kuwa mzima?"

1
05/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Yule mgonjwa akamjibu, "Bwana sina mtu, wa kuniweka katika birika wakati maji yanapotibuliwa. Wakati ninapokuja kuingia mtu mwingine hunitangulia." \v 8 Yesu akamwambia, "Inuka na uchukue godoro lako na uende."

1
05/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Mara yule mtu akaponywa, akachukua kitanda chake na akaenda. Na siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.

1
05/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Hivyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, "Leo ni siku ya Sabato, na hauruhusiwi kubeba godoro lako." \v 11 Akajibu, yeye aliyeniponya ndiye aliyeniambia, "Chukua godoro lako na uende."

1
05/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Wakauliza, "Ni nani aliyekuambia 'Chukua godoro lako na uende?''' \v 13 Hata hivyo, yule aliyeponywa hakumjua, kwa sababu Yesu alikuwa ameondoka kwa siri. Kwa kuwa kulikuwa na umati katika sehemu hiyo.

1
05/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Baada ya hapo Yesu alimkuta yule mtu hekaluni na akamwambia, "Tazama, umepona! "Usitende dhambi tena usije ukapatwa na jambo mbaya zaidi." \v 15 Yule mtu akaenda na kuwaarifu Wayahudi kuwa Yesu ndiye aliyemponya.

1
05/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Hivyo, kwa sababu ya mambo hayo Wayahudi walimtesa Yesu, kwa sababu alifanya mambo haya siku ya Sabato. \v 17 Yesu akawambia, "Baba yangu anafanya kazi hata sasa nami nafanya kazi." \v 18 Kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kumtafuta ili wamuue sio tu kwa sababu ya kuivunja Sabato, bali kwa kumwita Mungu Baba yake, akijifanya kuwa sawa na Mungu.

1
05/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Yesu akawajibu, "Amini, amini, Mwana hawezi kufanya kitu chochote isipokuwa kile ambacho amemwona Baba yake anakifanya, kwa kuwa chochote Baba akifanyacho ndicho na Mwana atakachofanya. \v 20 Kwa kuwa Baba ampenda Mwana, na amwonyesha kila kitu anachokifanya na atamwonyesha mambo makubwa kuliko haya ili kwamba mzidi kushangaa."

1
05/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Kwa kuwa kama vile ambavyo Baba awafufuavyo wafu na kuwapa uzima, halikadhalika Mwana pia humpa uzima yeyote apendaye. \v 22 Kwa kuwa Baba hamhukumu yeyote, bali amempa Mwana hukumu yote \v 23 ili kwamba wote wamheshimu Mwana kama vile Mwana anavyomheshimu Baba. Yeye asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyemtuma.

1
05/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Amini, amini, yeye asikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenituma anao uzima wa milele na hatahukumiwa. Badala yake, amepita kutoka mautini na kuingia uzimani.

1
05/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Amini, amini, nawambia wakati unakuja na sasa upo ambao wafu watasikia sauti ya Mwana wa Mungu, na wote watakao sikia wataishi.

1
05/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Kwa kuwa kama vile Baba alivyo na uzima ndani yake mwenyewe, kadhalika amempa Mwana kuwa na uzima ndani yake, \v 27 na Baba amempa Mwana mamlaka ili kwamba ahukumu kwa kuwa ni Mwana wa Adamu.

1
05/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Msishangazwe na hili, kwa kuwa wakati unakuja ambao wafu wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake \v 29 nao watatoka nje: waliotenda mema kwa ufufuo wa uzima, na walio tenda mabaya kwa ufufuo wa hukumu.

1
05/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Siwezi kufanya kitu chochote kutoka kwangu mwenyewe. Kama nisikiavyo, ndivyo ninavyo hukumu na hukumu yangu ni ya haki kwa kuwa sitafuti mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenituma. \v 31 Kama nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu usingelikuwa wa kweli. \v 32 Kuna mwingine anayenishuhudia na ninajua kwa hakika ushuhuda anaonishuhudia ni wa kweli.

1
05/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Mmetumana kwa Yohana naye ameishuhudia kweli. \v 34 Hatahivyo, ushuhuda ninaoupokea hautoki kwa mwanadamu. Ninayasema haya ili kwamba mweze kuokolewa. \v 35 Yohana alikuwa ni taa iliyokuwa ikiwaka na kung'ara, na mlikuwa tayari kuifurahia kwa muda kitambo nuru yake.

1
05/36.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 36 Bali ushuhuda nilionao ni mkuu kuliko ule wa Yohana, kwa kuwa kazi ambazo Baba amenipa kuzikamilisha, hizo kazi nizifanyazo zanishuhudia kuwa Baba amenituma. \v 37 Baba aliyenituma yeye mwenyewe ameshuhudia kunihusu mimi. Hamjawahi kusikia sauti yake wala kuona umbo lake wakati wowote. \v 38 Hamna neno lake linalokaa ndani yenu kwa kuwa hamumwamini yeye aliyetumwa.

1
05/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Mnayachunguza maandiko mkidhani ndani yake mna uzima wa milele, na hayo maandiko yanashuhudia habari zangu na \v 40 ilhali hamtaki kuja kwangu ili mpate uzima wa milele.

1
05/41.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 41 Sipokei sifa kutoka kwa watu, \v 42 lakini ninajua kuwa hamna upendo wa Mungu ndani yenu ninyi wenyewe.

1
05/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 43 Nimekuja kwa jina la Baba yangu, hamukuweza kunipokea. Kama mwingine akija kwa jina lake mngempokea. \v 44 Je mnawezaje kuamini ninyi ambao mnapokea sifa wenyewe kwa wenyewe lakini hamtafuti sifa itokayo kwa Mungu wa pekee?

1
05/45.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 45 Msidhani mimi nitawashitaki mbele za Baba. Anayewashitaki ninyi ni Musa, ambaye ninyi mmeweka matumaini yenu kwake. \v 46 Kama mngekuwa mnamwamini Musa, mngeniamini mimi kwa sababu aliandika kunihusu. \v 47 Kama hamuamini maandiko yake, mtawezaje kuamini maneno yangu.?

1
05/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
SURA YA 5

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 6 \v 1 Baada ya mambo haya, Yesu alienda upande wa pili wa Bahari ya Galilaya, pia huitwa Bahari ya Tiberia. \v 2 Umati mkubwa ulikuwa ukimfuata kwa sababu waliona ishara alizozifanya kwa waliokuwa wagonjwa. \v 3 Yesu alikwea juu ya mlima na akakaa huko na wanafunzi wake

1
06/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 (Na Pasaka, Sikukuu ya Wayahudi ilikuwa imekaribia). \v 5 Yesu alipoinua macho yake juu na kuona umati mkubwa unakuja kwake, akamwambia Filipo, "Tutakwenda wapi kununua mikate ili hawa waweze kula"? \v 6 (Lakini Yesu aliyasema haya kwa Filipo kwa kumjaribu kwa kuwa yeye mwenyewe alijua atakachofanya).

1
06/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Filipo akamjibu, "Hata mikate ya thamani ya dinari mia mbili isingelitosha hata kila mmoja kupata hata kipande kidogo." \v 8 Andrea, mmoja wa wanafunzi wake ndugu yake Simoni Petro akamwambia \v 9 Yesu, "Kuna mvulana hapa ana mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini hii yafaa nini kwa watu wengi namna hii?"

1
06/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Yesu akawambia, "Waketisheni watu chini" (kulikuwa na nyasi nyingi mahali pale). Hivyo wanaume wapata elfu tano wakakaa chini. \v 11 Kisha Yesu akachukua ile mikate mitano akashukuru akawawagawia wale waliokuwa wamekaa. Vivyo hivyo akawagawia samaki kwa kadiri ya vile wavyohitaji. \v 12 Watu waliposhiba, aliwambia wanafunzi wake, "Vikusanyeni vipande vya mabaki, vilivyobaki ili kwamba kisipotee chochote."

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More