sw_jhn_text_reg/04/21.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 21 Yesu akamjibu, "Mwanamke, niamini, wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu wala Yerusalemu. \v 22 Ninyi watu mwaabudu kile msichokijua, lakini sisi twaabudu tunachokijua, kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi."