sw_jhn_text_reg/06/01.txt

1 line
274 B
Plaintext

\c 6 \v 1 Baada ya mambo haya, Yesu alienda upande wa pili wa Bahari ya Galilaya, pia huitwa Bahari ya Tiberia. \v 2 Umati mkubwa ulikuwa ukimfuata kwa sababu waliona ishara alizozifanya kwa waliokuwa wagonjwa. \v 3 Yesu alikwea juu ya mlima na akakaa huko na wanafunzi wake