sw_jhn_text_reg/03/34.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 34 Kwa maana yeye aliyetumwa na Mungu huongea maneno ya Mungu. Kwa kuwaMungu hampi Roho kwa kipimo. \v 35 Baba humpenda Mwana na amempa vitu vyote mikononi mwake. \v 36 Yeye amwaminiye Mwana anao uzima wa milele, lakini kwa yeye asiye mtii Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu hukaa juu yake.