sw_jhn_text_reg/04/13.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 13 Yesu akajibu nakumwambia, "Yeyote anywae maji haya atapata kiu tena, \v 14 lakini yeye atakaye kunywa maji nitakayompa hatapata kiu tena. Badala yake maji nitakayompa yatakuwa chemchemi inayobubujika hata uzima wa milele."