sw_jhn_text_reg/05/36.txt

1 line
373 B
Plaintext

\v 36 Bali ushuhuda nilionao ni mkuu kuliko ule wa Yohana, kwa kuwa kazi ambazo Baba amenipa kuzikamilisha, hizo kazi nizifanyazo zanishuhudia kuwa Baba amenituma. \v 37 Baba aliyenituma yeye mwenyewe ameshuhudia kunihusu mimi. Hamjawahi kusikia sauti yake wala kuona umbo lake wakati wowote. \v 38 Hamna neno lake linalokaa ndani yenu kwa kuwa hamumwamini yeye aliyetumwa.