sw_jhn_text_reg/01/16.txt

1 line
327 B
Plaintext

\v 16 Kwa kuwa kutoka katika utimilifu wake, sisi sote tumepokea neema baada ya neema. \v 17 Kwa kuwa sheria ililetwa kupitia Musa. Neema na kweli vilikuja kupitia Yesu Kristo. \v 18 Hamna mwanadamu yeyote aliyewahi kumuona Mungu wakati wowote. Mtu pekee ambaye ni Mungu, aliye katika upande wa Baba, amemfanya yeye ajulikane.