sw_jhn_text_reg/05/21.txt

1 line
321 B
Plaintext

\v 21 Kwa kuwa kama vile ambavyo Baba awafufuavyo wafu na kuwapa uzima, halikadhalika Mwana pia humpa uzima yeyote apendaye. \v 22 Kwa kuwa Baba hamhukumu yeyote, bali amempa Mwana hukumu yote \v 23 ili kwamba wote wamheshimu Mwana kama vile Mwana anavyomheshimu Baba. Yeye asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyemtuma.