sw_jhn_text_reg/01/29.txt

1 line
361 B
Plaintext

\v 29 Siku iliyofuata Yohana alimwona Yesu akija kwake akasema, " Tazama mwanakondoo wa Mungu aichukuae dhambi ya ulimwengu! \v 30 Huyu ndiye niliyesema habari zake, "Yeye ajaye nyuma yangu ni mkuu kuliko mimi, kwa kuwa alikuwa kabla yangu.' \v 31 Sikumtambua yeye, lakini ilifanyika hivyo ili kwamba afunuliwe katika Israeli, ndipo nikaja nikibatiza kwa maji."