sw_jhn_text_reg/01/26.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 26 Yohana aliwajibu akisema, "Ninabatiza kwa maji. Hata hivyo, miongoni mwenu anasimama mtu msiyemtambua. \v 27 Huyu ndiye ajaye baada yangu. Mimi sisitahili kulegeza kamba za viatu vyake." \v 28 Mambo haya yalitendeka huko Bethania, ng'ambo ya Yordani, mahali ambapo Yohana alikuwa akibatiza.