sw_tn/2ti/01/intro.md

722 B

2 Timotheo 01 Maelezo kwa jumla

Dhana muhimu katika sura hii

Watoto wa kiroho

Paulo alimfundisha Timotheo kuwa Mkristo na kiongozi wa kanisa. Kuna uwezekano kwamba Paulo pia alimuongoza kumwamini Kristo. Kwa maana hiyo Paulo anamwita Timotheo (Mwanangu mpendwa" (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/disciple and rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit)

Maswala mengine ya utata katika kutafsiri sura hii

Mateso makali

Paulo alikuwa gerezani wakati akiandika barua hii. Paulo anamhimiza Timotheo kuwa tayari kuteseka kwa sababu ya injili. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)

| >>