# 2 Timotheo 01 Maelezo kwa jumla ### Dhana muhimu katika sura hii #### Watoto wa kiroho Paulo alimfundisha Timotheo kuwa Mkristo na kiongozi wa kanisa. Kuna uwezekano kwamba Paulo pia alimuongoza kumwamini Kristo. Kwa maana hiyo Paulo anamwita Timotheo (Mwanangu mpendwa" (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/disciple and rc://en/tw/dict/bible/kt/spirit) ### Maswala mengine ya utata katika kutafsiri sura hii #### Mateso makali Paulo alikuwa gerezani wakati akiandika barua hii. Paulo anamhimiza Timotheo kuwa tayari kuteseka kwa sababu ya injili. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit) ## Links: * __[2 Timothy 01:01 Notes](./01.md)__ * __[2 Timothy intro](../front/intro.md)__ __| [>>](../02/intro.md)__