sw_tn/2ti/02/intro.md

764 B

2 Timotheo 02 Maelezo kwa Ujumla

Muundo na mpangilio

Matoleo mengine yanaweka maneno kulia kwa ukurasa kuliko maandishi mengine. ULB hufanya hivi na aya za 11-13 kuliko aya zingine. Huenda Paulo ananukuu shairi ama wimbo katika mistari hii.

Dhana muhimu katika sura hii

"Tutatawala naye

Wakristo waaminifu watatawala pamoja na Kristo siku zijazo. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/faithful)

Mifano muhimu ya usemi katika sura hii

Mifano

Katika sura hii, Paulo anatumia mifano nyingi kufundisha maisha ya kikristo. Anatumia mifano ya mwanajeshi, mwanariadha na mkulima. Baadaye anatumia mifano ya aina nyingi ya vyombo vya nyumbani.

<< | >>