sw_tn/2ti/02/intro.md

23 lines
764 B
Markdown

# 2 Timotheo 02 Maelezo kwa Ujumla
### Muundo na mpangilio
Matoleo mengine yanaweka maneno kulia kwa ukurasa kuliko maandishi mengine. ULB hufanya hivi na aya za 11-13 kuliko aya zingine. Huenda Paulo ananukuu shairi ama wimbo katika mistari hii.
### Dhana muhimu katika sura hii
#### "Tutatawala naye
Wakristo waaminifu watatawala pamoja na Kristo siku zijazo. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/faithful)
### Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
#### Mifano
Katika sura hii, Paulo anatumia mifano nyingi kufundisha maisha ya kikristo. Anatumia mifano ya mwanajeshi, mwanariadha na mkulima. Baadaye anatumia mifano ya aina nyingi ya vyombo vya nyumbani.
## Links:
* __[2 Timothy 02:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__