# 2 Timotheo 02 Maelezo kwa Ujumla ### Muundo na mpangilio Matoleo mengine yanaweka maneno kulia kwa ukurasa kuliko maandishi mengine. ULB hufanya hivi na aya za 11-13 kuliko aya zingine. Huenda Paulo ananukuu shairi ama wimbo katika mistari hii. ### Dhana muhimu katika sura hii #### "Tutatawala naye Wakristo waaminifu watatawala pamoja na Kristo siku zijazo. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/faithful) ### Mifano muhimu ya usemi katika sura hii #### Mifano Katika sura hii, Paulo anatumia mifano nyingi kufundisha maisha ya kikristo. Anatumia mifano ya mwanajeshi, mwanariadha na mkulima. Baadaye anatumia mifano ya aina nyingi ya vyombo vya nyumbani. ## Links: * __[2 Timothy 02:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__