sw_tn/1th/03/intro.md

425 B

1 Wathesalonike 03 Maelezo kwa ujumla

Dhana muhimu katika sura hii

Kusimama

Katika sura hii Paulo anatumia "simama imara" kuonyesha kuwa imara. Hii ni njia ya kawaida ya kuelezea kuwa imara ama mwaminifu. Paulo anatumia "Kutingizwa" kama kinyume cha kuwa imara. Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/faithful)

<< | >>