sw_tn/1th/03/intro.md

13 lines
425 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Wathesalonike 03 Maelezo kwa ujumla
### Dhana muhimu katika sura hii
#### Kusimama
Katika sura hii Paulo anatumia "simama imara" kuonyesha kuwa imara. Hii ni njia ya kawaida ya kuelezea kuwa imara ama mwaminifu. Paulo anatumia "Kutingizwa" kama kinyume cha kuwa imara. Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/faithful)
## Links:
* __[1 Thessalonians 03:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__