# 1 Wathesalonike 03 Maelezo kwa ujumla ### Dhana muhimu katika sura hii #### Kusimama Katika sura hii Paulo anatumia "simama imara" kuonyesha kuwa imara. Hii ni njia ya kawaida ya kuelezea kuwa imara ama mwaminifu. Paulo anatumia "Kutingizwa" kama kinyume cha kuwa imara. Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/faithful) ## Links: * __[1 Thessalonians 03:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__