sw_tn/1th/02/intro.md

777 B

1 Wathesalonike 02 Maelezo kwa ujumla

Dhana muhimu katika sura hii

Shahidi ya Mkristo

Paulo anathamini "Shahidi yake ya Kikristo" kama dhihirisho kwamba injili ni ya ukweli. Paulo anasema kwamba kuwa mtakatifu ama kuishi uungu unashuhudia wasio Wakristo. Paulo anatetea tabia yake ili shahidi wake isiathiriwe. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/testimony and rc://en/tw/dict/bible/kt/godly and rc://en/tw/dict/bible/kt/holy)

Kuishi Kikristo

Sheria ya Musa ilihitaji watu kutoa dhabihu ya wanyama au ya nafaka ndani ya hekalu. Mungu hahitaji dhabihu nyakati hizi. Mungu anahitaji watu waishi kama sadaka.Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/lawofmoses)

<< | >>