sw_tn/1th/01/intro.md

538 B

1 Wathesalonike 01 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Mstari wa kwanza unatanguliza barua hii kirasmi. Barua za kale katika Mashariki ya Karibu yalikuwa na utangulizi wa aina hii.

Dhana maalum katika sura hii

Ugumu

Watu wengine waliwatesa sana Wakristo wa Thesalonike. Lakini Wakristo hao waliyachukulia mateso hayo kwa njia nzuri. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)

| >>