# 1 Wathesalonike 01 Maelezo kwa jumla ### Muundo na mpangilio Mstari wa kwanza unatanguliza barua hii kirasmi. Barua za kale katika Mashariki ya Karibu yalikuwa na utangulizi wa aina hii. ### Dhana maalum katika sura hii #### Ugumu Watu wengine waliwatesa sana Wakristo wa Thesalonike. Lakini Wakristo hao waliyachukulia mateso hayo kwa njia nzuri. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit) ## Links: * __[1 Thessalonians 01:01 Notes](./01.md)__ * __[1 Thessalonians intro](../front/intro.md)__ __| [>>](../02/intro.md)__