sw_tn/jhn/05/intro.md

1.1 KiB

Yohana 05 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

Baraza

Wayahudi wengi waliamini kwamba baraza hizi zilikuwa na uwezo wa kuponya. Hii ilifanyika wakati maji "yalichochewa." (See: rc://*/ta/man/translate/figs-explicit)

"Ufufuo wa hukumu"

Haya ni marejeo ya wakati baada ya kifo ambapo watu wote watahukumiwa. (See: [[rc:///tw/dict/bible/other/death]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/judge]])

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Mwana, Mwana wa Mungu

Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana," "Mwana wa Binadamu" na "Mwana wa Mungu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujielezea katika 'mtu wa tatu.' (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/sonofman]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/sonofgod]])

"Ameshuhudia juu yangu"

Yesu anazungumza juu ya Agano la Kale kushuhudia kumhusu yeye. Agano la Kale linatoa unabii mwingi kuhusu Masihi ambayo yalielezea kuhusu Yesu kabla ya kuja kwake duniani. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/prophet]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/christ]])

<< | >>