sw_tn/jhn/06/intro.md

2.5 KiB

Yohana 06 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

"Wamfanye mfalme"

Ingawa si wasomi wote wanakubaliana juu ya sababu halisi ambayo Yesu hakutaka kuwa mfalme, kwa ujumla walikubaliana kuwa watu hawakuwa na nia nzuri ya kumfanya awe mfalme. Walitaka awe mfalme kwa sababu aliwapa chakula. Walikosa kutambua ukweli kwamba amekwisha kuwa mfalme wa wafalme. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-explicit)

Mkate

Yesu anatumia taswira ya mkate katika sura hii. Umuhimu wa mkate asili yake ni utoaji wa kila siku ambao Mungu alitoa kwa Israeli jangwani kwa miaka 40 na matukio ya Pasaka. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/passover)

Eating the flesh and drinking the blood

When Jesus said, "Unless you eat the flesh of the Son of Man and drink his blood, you will not have life in yourselves," he knew that before he died he would tell his followers to do this by eating bread and drinking wine. In the event this chapter describes, he expected that his hearers would understand that he was using a metaphor but would not understand what the metaphor referred to. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/flesh]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/blood]])

Mimi ndimi

Yohana anatumia maneno haya mara saba katika injili yake. Ni maneno sawa yanayotumiwa na Mungu, alipojidhihirisha pamoja na jina lake Yahweh katika kichaka kilichokuwa kinawaka. Jina "Yahweh" linaweza kutafsiriwa kama Mimi ndimi."

Mfano muhimu za usemi katika sura hii

"Ananipa ... huja kwangu"

Maneno haya hutumiwa kumaanisha kwamba wengi "wataamini Yesu." (See: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

"Kula mwili wangu na kunywa damu yangu"

Hii inapaswa kuonekana wazi kama mfano. Ni marejeo ya mazoezi yaliyoanzishwa wakati wa chakula cha mwisho cha Yesu wakati Yesu alitumia mkate na divai kuwakilisha mwili wake na damu. Hii ni kumbukumbu ya kifo cha Yesu kwa dhambi. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/flesh]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/blood]] and rc://*/tw/dict/bible/kt/sin)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Mawazo kwenye mabano

Mara kadhaa katika kifungu hiki, Yohana anaandika maelezo mengine ili msomaji afahamu vizuri habari. Maelezo haya yanalenga kumpa msomaji ujuzi wa ziada bila kudakiza uandishi. Maneno haya yanawekwa ndani ya mabano.

"Mwana wa Binadamu, Mwana"

Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana wa Binadamu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujitaja mwenyewe kama 'mtu wa tatu.'

<< | >>