Wayahudi wengi waliamini kwamba baraza hizi zilikuwa na uwezo wa kuponya. Hii ilifanyika wakati maji "yalichochewa." (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
Haya ni marejeo ya wakati baada ya kifo ambapo watu wote watahukumiwa. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/other/death]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/judge]])
Yesu anajiita mwenyewe kama "Mwana," "Mwana wa Binadamu" na "Mwana wa Mungu." Lugha zingine haziwezi kuruhusu mtu kujielezea katika 'mtu wa tatu.' (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sonofman]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sonofgod]])
Yesu anazungumza juu ya Agano la Kale kushuhudia kumhusu yeye. Agano la Kale linatoa unabii mwingi kuhusu Masihi ambayo yalielezea kuhusu Yesu kabla ya kuja kwake duniani. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/christ]])