sw_tn/heb/12/intro.md

778 B

Waebrania 12 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Baada ya kuwafundisha watu umuhimu wa adhabu, mwandishi anaanza mfuatano ya mahubiri. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/exhort).

Watafsiri wengine wameweka kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 12:5-6, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.

Dhana muhimu katika sura hii

Nidhamu

Mungu anataka watu wake kutenda yaliyo mema.Wakifanya kile hakipendi, anatakikana kuwarekebisha ama kuwadhibu. Yeye hufanya hivi jinsi baba wa duniani huwarekebisha na kuwadhibu watoto wao wanaowapenda. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/discipline)

<< | >>