# Waebrania 12 Maelezo kwa jumla ## Muundo na mpangilio Baada ya kuwafundisha watu umuhimu wa adhabu, mwandishi anaanza mfuatano ya mahubiri. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/exhort]]). Watafsiri wengine wameweka kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 12:5-6, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale. ## Dhana muhimu katika sura hii ### Nidhamu Mungu anataka watu wake kutenda yaliyo mema.Wakifanya kile hakipendi, anatakikana kuwarekebisha ama kuwadhibu. Yeye hufanya hivi jinsi baba wa duniani huwarekebisha na kuwadhibu watoto wao wanaowapenda. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/discipline]]) ## Links: * __[Hebrews 12:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../11/intro.md) | [>>](../13/intro.md)__