sw_tn/heb/12/01.md

1.3 KiB

Sentensi Unganishi:

Kwa sababu ya idadi kubwa ya waumini wa Agano la Kale, mwandishi anaongelea maisha ya imani ambayo waamini wanapswa kuishi na Yesu kama kielezo chao.

Maelezo ya Jumla:

inamaanisha mwandishi na wasomaji wake. Neno nyie linamaanisha wasomaji.

Tumezungukwa na kundi kubwa la mashahidi

" kundi kubwa la mashahidi linatuzunguka sisi" au "Kundi kubwa la mashahidi linasimama kama mfano kwetu."

Mashahidi

"Mashahidi" hapa inamaanisha waumini wa Agano la Kale katika sura ya 11 walioishi kabla ya shindano la imani ambayo waumini wanashindana sasa hivi.

tuweke kando kila mzigo na unatuzonga kwa urahisi

"mzito" hapana "dhambi inayozonga kwa urahisi" vinaongelewa kana kwamba mtu angeweza kuziondoa na kuzitua chini.

Mwanzilishi na mkamilishaji

"muumbaji na mkamilishaji." Hii inamaanisha kwamba Yesu ni chanzo imani ya waumini.Ndiye ambaye waumini wanamtumaini, na atahakikisha waumini wanafikia lengo lao.

furaha iliyowekwa mbele yake

Furaha ungetoka kwa Yesu kunaongelewa kana kwamba Mungu Baba aliyoiwekambele yake kufikia lengo.

aliidharau aibu yake

Hii inamaanisha hakujali kuhusu aibu ya ya kufa msalabani.

alikaa mkono wa kuume

"Mkono wa kuume" hapa unamaanisha sehemu ya heshima.

kiti cha enzi

"enzi" inamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme.

kuchoka katika mioyo

"mioyo" inamaanisha mawazo ya mtu na hisia.