# Sentensi Unganishi: Kwa sababu ya idadi kubwa ya waumini wa Agano la Kale, mwandishi anaongelea maisha ya imani ambayo waamini wanapswa kuishi na Yesu kama kielezo chao. # Maelezo ya Jumla: inamaanisha mwandishi na wasomaji wake. Neno nyie linamaanisha wasomaji. # Tumezungukwa na kundi kubwa la mashahidi " kundi kubwa la mashahidi linatuzunguka sisi" au "Kundi kubwa la mashahidi linasimama kama mfano kwetu." # Mashahidi "Mashahidi" hapa inamaanisha waumini wa Agano la Kale katika sura ya 11 walioishi kabla ya shindano la imani ambayo waumini wanashindana sasa hivi. # tuweke kando kila mzigo na unatuzonga kwa urahisi "mzito" hapana "dhambi inayozonga kwa urahisi" vinaongelewa kana kwamba mtu angeweza kuziondoa na kuzitua chini. # Mwanzilishi na mkamilishaji "muumbaji na mkamilishaji." Hii inamaanisha kwamba Yesu ni chanzo imani ya waumini.Ndiye ambaye waumini wanamtumaini, na atahakikisha waumini wanafikia lengo lao. # furaha iliyowekwa mbele yake Furaha ungetoka kwa Yesu kunaongelewa kana kwamba Mungu Baba aliyoiwekambele yake kufikia lengo. # aliidharau aibu yake Hii inamaanisha hakujali kuhusu aibu ya ya kufa msalabani. # alikaa mkono wa kuume "Mkono wa kuume" hapa unamaanisha sehemu ya heshima. # kiti cha enzi "enzi" inamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme. # kuchoka katika mioyo "mioyo" inamaanisha mawazo ya mtu na hisia.