sw_tn/heb/12/01.md

44 lines
1.3 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Kwa sababu ya idadi kubwa ya waumini wa Agano la Kale, mwandishi anaongelea maisha ya imani ambayo waamini wanapswa kuishi na Yesu kama kielezo chao.
# Maelezo ya Jumla:
inamaanisha mwandishi na wasomaji wake. Neno nyie linamaanisha wasomaji.
# Tumezungukwa na kundi kubwa la mashahidi
" kundi kubwa la mashahidi linatuzunguka sisi" au "Kundi kubwa la mashahidi linasimama kama mfano kwetu."
# Mashahidi
"Mashahidi" hapa inamaanisha waumini wa Agano la Kale katika sura ya 11 walioishi kabla ya shindano la imani ambayo waumini wanashindana sasa hivi.
# tuweke kando kila mzigo na unatuzonga kwa urahisi
"mzito" hapana "dhambi inayozonga kwa urahisi" vinaongelewa kana kwamba mtu angeweza kuziondoa na kuzitua chini.
# Mwanzilishi na mkamilishaji
"muumbaji na mkamilishaji." Hii inamaanisha kwamba Yesu ni chanzo imani ya waumini.Ndiye ambaye waumini wanamtumaini, na atahakikisha waumini wanafikia lengo lao.
# furaha iliyowekwa mbele yake
Furaha ungetoka kwa Yesu kunaongelewa kana kwamba Mungu Baba aliyoiwekambele yake kufikia lengo.
# aliidharau aibu yake
Hii inamaanisha hakujali kuhusu aibu ya ya kufa msalabani.
# alikaa mkono wa kuume
"Mkono wa kuume" hapa unamaanisha sehemu ya heshima.
# kiti cha enzi
"enzi" inamaanisha utawala wa Mungu kama mfalme.
# kuchoka katika mioyo
"mioyo" inamaanisha mawazo ya mtu na hisia.