sw_tn/heb/11/intro.md

501 B

Waebrania 11 Maelezo kwa jumla

Muundo

Mwandishi anaanza sura hii kwa kuelezea nini maana ya imani. Baadaye anapeana mifano mingi ya watu waliokuwa na imani na jinsi walivyoishi.

Dhana muhimu katika sura hii.

Imani

Katika maagano yote mapya na ya zamani, Mungu alihitaji imani. Watu wengine wa imani walifanya miujiza na walikuwa wenye nguvu sana. Watu wengine wa imani waliteseka sana.

<< | >>