sw_tn/heb/11/intro.md

18 lines
501 B
Markdown

# Waebrania 11 Maelezo kwa jumla
## Muundo
Mwandishi anaanza sura hii kwa kuelezea nini maana ya imani. Baadaye anapeana mifano mingi ya watu waliokuwa na imani na jinsi walivyoishi.
## Dhana muhimu katika sura hii.
### Imani
Katika maagano yote mapya na ya zamani, Mungu alihitaji imani. Watu wengine wa imani walifanya miujiza na walikuwa wenye nguvu sana. Watu wengine wa imani waliteseka sana.
## Links:
* __[Hebrews 11:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../10/intro.md) | [>>](../12/intro.md)__