# Waebrania 11 Maelezo kwa jumla ## Muundo Mwandishi anaanza sura hii kwa kuelezea nini maana ya imani. Baadaye anapeana mifano mingi ya watu waliokuwa na imani na jinsi walivyoishi. ## Dhana muhimu katika sura hii. ### Imani Katika maagano yote mapya na ya zamani, Mungu alihitaji imani. Watu wengine wa imani walifanya miujiza na walikuwa wenye nguvu sana. Watu wengine wa imani waliteseka sana. ## Links: * __[Hebrews 11:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../10/intro.md) | [>>](../12/intro.md)__