sw_tn/heb/11/01.md

955 B

Sentensi Unganishi:

Mwandishi anaongea vitu vtatu kuhusu imani katika maelekezo haya mafupi.

Sasa

Neno hili limetumika hapa kufanya kupumzika katika fundisho lake kuu. Hapa mwandishi anaanza kufafanua maana ya "imani."

Kwa hakika aliyo nayo mtu wakati atarajiapo

"imani ni msingi alionao mtu katika tegemeo"

hakika anatarajia

Hapa jambo hili hurejea katika ahadi za Mungu, hususani uhakika walionao waamini wote wa Yesu kuwa kunawakati watakuwa na Mungu mbinguni milele.

ambayo bado hayajaonekana

"yale ambayohatujayaona" au "ambayo hayajaonekana"

kwa sababu hii

"Kwa sababu kulikuwa na matukio ya hakika ambayo yalikuwa hayajatokea"

mababu walithibitishwa kwa imani yao

"Mungu aliwathibisha mababu zetu kwa sababu ya imani yao"

ulimwengu uliumbwa kwa amri ya Mungu

"Mungu aliimba dunia kwa kuiamuru iwepo"

kinachoonekana hakikuumbwa kwa vitu vinavyoonekana

"Mungu hakuumba tunavyoviona kutokana na vitu vinavyoonekana"