sw_tn/heb/11/01.md

36 lines
955 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Mwandishi anaongea vitu vtatu kuhusu imani katika maelekezo haya mafupi.
# Sasa
Neno hili limetumika hapa kufanya kupumzika katika fundisho lake kuu. Hapa mwandishi anaanza kufafanua maana ya "imani."
# Kwa hakika aliyo nayo mtu wakati atarajiapo
"imani ni msingi alionao mtu katika tegemeo"
# hakika anatarajia
Hapa jambo hili hurejea katika ahadi za Mungu, hususani uhakika walionao waamini wote wa Yesu kuwa kunawakati watakuwa na Mungu mbinguni milele.
# ambayo bado hayajaonekana
"yale ambayohatujayaona" au "ambayo hayajaonekana"
# kwa sababu hii
"Kwa sababu kulikuwa na matukio ya hakika ambayo yalikuwa hayajatokea"
# mababu walithibitishwa kwa imani yao
"Mungu aliwathibisha mababu zetu kwa sababu ya imani yao"
# ulimwengu uliumbwa kwa amri ya Mungu
"Mungu aliimba dunia kwa kuiamuru iwepo"
# kinachoonekana hakikuumbwa kwa vitu vinavyoonekana
"Mungu hakuumba tunavyoviona kutokana na vitu vinavyoonekana"