# Sentensi Unganishi: Mwandishi anaongea vitu vtatu kuhusu imani katika maelekezo haya mafupi. # Sasa Neno hili limetumika hapa kufanya kupumzika katika fundisho lake kuu. Hapa mwandishi anaanza kufafanua maana ya "imani." # Kwa hakika aliyo nayo mtu wakati atarajiapo "imani ni msingi alionao mtu katika tegemeo" # hakika anatarajia Hapa jambo hili hurejea katika ahadi za Mungu, hususani uhakika walionao waamini wote wa Yesu kuwa kunawakati watakuwa na Mungu mbinguni milele. # ambayo bado hayajaonekana "yale ambayohatujayaona" au "ambayo hayajaonekana" # kwa sababu hii "Kwa sababu kulikuwa na matukio ya hakika ambayo yalikuwa hayajatokea" # mababu walithibitishwa kwa imani yao "Mungu aliwathibisha mababu zetu kwa sababu ya imani yao" # ulimwengu uliumbwa kwa amri ya Mungu "Mungu aliimba dunia kwa kuiamuru iwepo" # kinachoonekana hakikuumbwa kwa vitu vinavyoonekana "Mungu hakuumba tunavyoviona kutokana na vitu vinavyoonekana"