sw_tn/heb/10/intro.md

1.8 KiB

Waebrania 10 Maelezo kwa jumla.

Muundo na mpangilio

Katika hii sura, mwandishi anamalizia kwa kufafanua jinsi sadaka ya Yesu ni bora kuliko sadaka zilizotolewa hekaluni.(Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses)

Watafsiri wengine wametenga kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 10:5-7,:15-17, 37-38, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.

Dhana muhimu katika sura hii

Hukumu ya Mungu na tuzo

Kuishi kitakatifu ni muhimu kwa Wakristo. Mungu atawajibisha watu jinsi walivyoishi maisha yao ya Kikristo. Ingawa hakutakuwa na hukumu ya milele kwa Wakristo, matendo yasiyo pendeza Mungu yatakuwa na matokeo. Zaidi ya hayo maisha ya uaminifu yatatuzwa. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/holy]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/godly]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/faithful]] and [[rc:///tw/dict/bible/other/reward]])

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii.

Maana damu ya fahali na mbuzi haiwezi kamwe kuondoa dhambi" (Waebrania 10:4)

Dhabihu zenyewe hazikuwa na nguvu za kuokoa. Zilifanikiwa kwa sababu zilikuwa dhihirisho la imani ambayo ilitokana na aliyekuwa anatoa hiyo Dhabihu. ilikuwa ni sadaka ya Yesu inayofanya sadaka hizi "kuondoa dhambi". Kulingana na hayo, Mungu hataki sadaka iltolewao bila imani. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/redeem]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/faith]])

"Agano nitakalofanya"

Haiko wazi iwapo huu unabii ulikuwa unatimizwa wakati mwandishi huyu alikuwa anaandika ama iwapo ungetimizwa baadaye. Mtafsiri aepuke kusema wakati muda wa agano hili inaanza. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/prophet]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/covenant]])

<< | >>