sw_tn/heb/12/intro.md

20 lines
778 B
Markdown

# Waebrania 12 Maelezo kwa jumla
## Muundo na mpangilio
Baada ya kuwafundisha watu umuhimu wa adhabu, mwandishi anaanza mfuatano ya mahubiri. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/exhort]]).
Watafsiri wengine wameweka kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 12:5-6, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
## Dhana muhimu katika sura hii
### Nidhamu
Mungu anataka watu wake kutenda yaliyo mema.Wakifanya kile hakipendi, anatakikana kuwarekebisha ama kuwadhibu. Yeye hufanya hivi jinsi baba wa duniani huwarekebisha na kuwadhibu watoto wao wanaowapenda. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/discipline]])
## Links:
* __[Hebrews 12:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../11/intro.md) | [>>](../13/intro.md)__