sw_tn/2sa/15/01.md

12 lines
288 B
Markdown

# Ikawa
Kifungu hiki kinatambulisha tukio jingine katika habari
# Na watu hamsini kwenda mbele yake
Watu hawa wangekwenda mbele ya kibandawazi kwa kumweshimu Absalomu.
# Mtumishi wako
Mtu alipomjibu Absalomu alimrejerea kwa kusema "mtumishi wako" kuonesha heshima yake kwa Absalomu.