# Ikawa Kifungu hiki kinatambulisha tukio jingine katika habari # Na watu hamsini kwenda mbele yake Watu hawa wangekwenda mbele ya kibandawazi kwa kumweshimu Absalomu. # Mtumishi wako Mtu alipomjibu Absalomu alimrejerea kwa kusema "mtumishi wako" kuonesha heshima yake kwa Absalomu.