sw_tn/act/14/intro.md

823 B

Matendo 14 Maelezo kwa jumla

Dhana Maalum katika sura hii

"Ujumbe wa neema yake"

Ujumbe wa Yesu ni ujumbe wa Mungu ambao huwapa neema wanaomuamini Yesu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/grace and rc://en/tw/dict/bible/kt/believe)

Zeu na Herme

Watu wa mataifa katika himaya ya Warumi waliabudu miungu wengi ambao hawakuwepo. Paulo na Barnaba waliaambia kuamini katika "Mungu aliye hai" Yahwe. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/falsegod)

Maswala mengine tata kwenye tafsiri ya sura hii.

"Lazima tuingie kwenye ufalme wa Mungu kupitia mateso mengi"

Yesu aliwaambia wafuasi wake kabla hajafa kwamba kila anayemfuata angepata mateso. Paulo anayarudia maneno hayo kupitia maneno tofauti na hayo.

<< | >>