# Matendo 14 Maelezo kwa jumla ### Dhana Maalum katika sura hii #### "Ujumbe wa neema yake" Ujumbe wa Yesu ni ujumbe wa Mungu ambao huwapa neema wanaomuamini Yesu. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/grace and rc://en/tw/dict/bible/kt/believe) #### Zeu na Herme Watu wa mataifa katika himaya ya Warumi waliabudu miungu wengi ambao hawakuwepo. Paulo na Barnaba waliaambia kuamini katika "Mungu aliye hai" Yahwe. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/falsegod) ### Maswala mengine tata kwenye tafsiri ya sura hii. #### "Lazima tuingie kwenye ufalme wa Mungu kupitia mateso mengi" Yesu aliwaambia wafuasi wake kabla hajafa kwamba kila anayemfuata angepata mateso. Paulo anayarudia maneno hayo kupitia maneno tofauti na hayo. ## Links: * __[Acts 14:1](../../act/14/01.md)__ __[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__