sw_tn/act/13/intro.md

1.4 KiB

Matendo 13 Maelezo kwa jumla

Muundo na Mpangilio

Tafsiri zingine zimeweka nukuu kutoka Agano La Kale kwenye mkono wa kulia mbali na maandiko mengine. ULB hufanya hivi kwa kutumia nukuu tatu kutoka Zaburi 13:33-35

Tafsiri zingine zimeweka kila mstari wa ushairi mbele ya kulia kuliko maandishi mengine ili kurahisisha kusoma. ULB hufanya hiv na ushairi ambao umenukuliwa kutoka Agano la Kale 13:41

Nusu ya pili ya kitabu cha Matendo inaanzia katika sura hii. Luka anaandika zaidi kumhusu Paulo kuliko Petero, na inelezea jinsi watu wa mataifa, na siyo Wayahudi, wanafunuliwa habari ya Yesu na waumini.

Dhana Maalum katika sura hii.

Mwanga kwa watu wa mataifa

Mara nyingi Biblia huzungumzia watu wasio wanyoofu, watu wasiotenda yanayomfurahisha Mungu,kana kwamba ni watu watembeayo kwa giza. Inazungumzia mwanga kana kwamba ndio unaweazesha wenye dhambi kubadilika ili wafahamu kwamba wanachotenda ni kibaya na waanze kumtii Mungu. Wayahudi waliwachukulia watu wote wa mataifa kama watembeao kwa giza lakini Paulo na Barnaba wakazungumzia watu wa mataifa kumhusu Yesu kama watakaoenda kuwaletea mwanga wa kawaida. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor and rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)Jesus as if they were going to bring them physical light. (See: rc://en/ta/man/jit/figs-metaphor and rc://en/tw/dict/bible/kt/righteous)

<< | >>